Wednesday, December 18, 2024

Matokeo ya form IV NECTA 2024 fuatilia hapa

 Matokeo ya Form IV 2024/2025 (NECTA Form Four results 2024/2025)

NECTA Matokeo ya Kidato cha Nne 2024/2025 Mikoa Yote
Matokeo ya kidato cha nne 2024 release date
Matokeo ya kidato cha nne 2024 mp3 download
Matokeo ya kidato cha nne 2024 download
Matokeo ya Kidato cha nne 2024 Tanzania live
Matokeo ya kidato cha nne 2024 Tanzania live youtube
Matokeo kidato cha nne haya hapa
Matokeo ya Kidato cha sita 2024
Matokeo ya kidato cha nne shule ya sekondari

Matokeo ya kidato cha iv 2024 results
Matokeo ya kidato cha iv 2024 release date
Matokeo ya kidato cha iv 2024 pdf
Matokeo ya kidato cha iv 2024 dates
Matokeo ya kidato cha iv 2024 download

Matokeo ya kidato cha nne 2024


 Table of Contents  

Mwongozo wa kila kitu Matokeo ya Form IV 2024/2025 NECTA Form Four Results PDF, Matokeo Ya Kidato Cha Nne 2024/25 NECTA, Form Four Results 2024, CSEE NECTA Results 2024/2025, necta 2023, necta.go.tz 2024 Matokeo Kidato Cha Nne na kila taarifa mpya kuhusu haya Matokeo.

Matokeo ya Kidato cha Nne ni matokeo ya mtihani wa taifa wa Kidato cha Nne nchini Tanzania, yanayotolewa na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA). Tarehe rasmi ya kutangazwa kwa matokeo hutangazwa mapema na NECTA.

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) lilianzishwa kwa Sheria ya Bunge Na. 21 ya mwaka 1973 kwa lengo la kusimamia mitihani yote ya kitaifa nchini Tanzania. Uanzishwaji wa NECTA ulifuatia uamuzi wa Tanzania Bara kujitoa katika Baraza la Mitihani la Afrika Mashariki (EAEC) mwaka 1971 ili kuendesha mitihani yake ya ndani.

Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Kidato Cha Nne 2024/2025 NECTA Mtandaoni

Wanafunzi wa Tanzania wanaweza kutumia njia zifuatazo:

Tembelea tovuti rasmi ya NECTA:

    • Nenda kwenye www.necta.go.tz

au

https://www.necta.go.tz/results/view/csee.

    • Chagua “Results” kwenye menyu kuu.
    • Chagua aina ya mtihani (CSEE) na mwaka wa matokeo (kwa mfano, 2024).
    • Tafuta jina la shule au namba ya mtihani ili kuona matokeo.

Kwa SMS:

    • Piga 15200# na fuata maelekezo.
    • Chagua “Elimu,” kisha “NECTA,” na hatimaye “Matokeo.”
    • Weka namba yako ya mtihani na mwaka, kisha lipia Tsh 100 kwa SMS.

Matokeo ya Kidato cha Nne PDF 2024/2025

Matokeo haya ni muhimu kwa wanafunzi wanaotarajia kuendelea na masomo ya kidato cha tano au kuchukua kozi za diploma. Wanafunzi wanaweza pia kupata matokeo yao kwa kupakua PDF kutoka kwenye tovuti ya NECTA.

Matokeo ya Form IV 2024


Lengo la Mitihani ya Kitaifa Tanzania

  • Kuandaa sera za mitihani zinazoendana na sera ya elimu na mafunzo.
  • Kusimamia uwajibikaji katika mchakato wa mitihani.
  • Kutoa vyeti, diploma, na zawadi nyingine kwa wahitimu.
  • Kutoa huduma za mitihani ya kimataifa nchini Tanzania.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara Kuhusu NECTA

NECTA ni nini?

NECTA ni Baraza la Mitihani la Taifa la Tanzania linalosimamia mitihani ya kitaifa.

Masomo gani hutolewa na NECTA?

Masomo yanajumuisha Kiingereza, Hisabati, Fizikia, Biolojia, Kemia, Historia, Jiografia, na mengineyo.

Ninapataje matokeo yangu ya NECTA ?

Tembelea tovuti ya NECTA na tafuta matokeo kwa kiwango cha mtihani, mwaka, na jina la mwanafunzi.

Mitihani ya Kidato cha nne 2024/2025 imefanyika november

Kwa kawaida, mitihani ya NECTA hufanyika Oktoba na Novemba kila mwaka.

Maeneo Yenye Matokeo ya Kidato Cha Nne 2024/2025

Mikoa yote ya Tanzania inahusika, ikiwemo: Arusha, Dar es Salaam, Dodoma, Mbeya, Mwanza, Tanga, na mikoa mingine.

ARUSHADAR ES SALAAMDODOMA
GEITAIRINGAKAGERA
KATAVIKIGOMAKILIMANJARO
LINDIMANYARAMARA
MBEYAMOROGOROMTWARA
MWANZANJOMBEPWANI
RUKWARUVUMASHINYANGA
SIMIYUSINGIDASONGWE
TABORATANGA

Kupata matokeo Kidato Cha Nne 2024/2025 mtandaoni ni rahisi na haraka. Tembelea tovuti ya NECTA na ufuate maelekezo yaliyoainishwa hapo juu.

Ndugu waanafunzi ambao mmehitimu kidato cha nne 2024 anda kesho yako na njia pekee ya kuandaa kesho yako ni kuwekeza muda wako kwenye elimu. elimu sio lazima kwenda kidato cha tano la hasha kama combination zimegoma usijilaumu bali waza alternative two nenda chuo chochote cha ufundi hata kama ni ufundi wa kutengeneza pikipiki, ufundi wa magari, sofa ufundi umeme ili upate ujuzi wako na uwe na kazi yako inayokuingizia kipato. Usikate tamaa kama GPA haikuwa nzuri kama ulivyotarajia sema asante Mungu kwa hiki nilichopata na sasa waza kufanya kitu kingine lakini ukitaka kujaribu tena bahati yako unarudia mtihani.


Wazazi na walezi waungeni mokono watoto wenu vijana wenu kwa wazo wanalowaombeni support tusiwe watu wa kumpangia mtoto kuwa daktari wakati mtoto hana wito huo wa udaktari Tutampata daktari mtafuta pesa na sio daktari anaetibu toka moyoni mwake.

Share post hii na marafiki bonyeza hapo iwafikie wote wanaotafuta matokeo ya kidato cha nne 2024/2025 Siku yakitangazwa utajulishwa kwa group la whatsapp jiunge hapa https://chat.whatsapp.com/GVCApeH4MoCL1zdjRNAWJq

Ili utumiwe link ya Matokeo ya Form IV 2024/2025 yatakapotangazwa na serikali

Tuesday, September 10, 2019

Matokeo ya darasa la saba 2019/20 fuatilia hapa

Matokeo ya darasa la saba 2019/20 fuatilia hapa

Watoto wetu wamefanya mtihani wa kumaliza darasa la saba 2019 sasa tunasubiri matokeo ya darasa la saba 2019 basi tusubiri necta watatangaza tu na kujua ufaulu wa watoto wetu. Ningependa kushauri mambo machache wazazi na walezi hawa watoto wetu wanastahili kuendelezwa kielimu hata kama hawatafaulu mtihani wa darasa la saba 2019. Kufeli mtihani sio kufeli maisha, kuna shule za ufundi bado mtoto anaweza kuendelezwa hata kama angepa sifuri kwenye mitihani yote. 
Nikupe mfano shule za binafsi ndizo zinazoongoza mitihani ya kidato cha nne taifa lakini ukifanya utafiti utakuta kama seminary watoto waliochukukuliwa kidato cha nne walikuwa wale waliofeli mtihani wa taifa na kukosa shule za serikali lakini ndio wanao ongoza mitihani ya Taifa olevel hapa tunajifunza kumbe kufeli darasa la saba sio kufeli kidato cha nne.

Ushauri mwingine jamani tusiwabague watoto wa kike tuwaendeleze kielimu kama watoto wa kiume, Kwanza nikwambie mzazi au mlezi ukiwa na mtoto wa kike mshukuru Mungu sana kwaku huyo ndiye atakayekutuza ukiwa mzee. madume yakishaanza maisha yanaendeleza na kupendelea upande wa wake zao hivyo na wewe mtoto wa kike akolewa atampeti peti mume wake mpaka apate pesa ya kukutumia hata kama elfu 20 tu. mtoto wa kile ni mali na sio mahali. Kama umeipenda makala hii itume kwa marafiki na ndugu kwenye magroup facebook whatsapp twitter nao wanufaike nayo. bonyeza shere hapo chini au kopi kisha iweke kama ilivyo kwenye mitandao ni ruksa kukopi.

Sasa kipengere hiki hapa chini kinakuhusu ongeza kipato kupitia mitandao soma zaidi kwa makini mpaka mwisho

Ijue App pekee inayo tengeneza ajira kwa vijana mtandaoni

Habari ndugu mtumiaji wa app hii, Leo nakutambusha app pekee ambayo ukiitumia utapata pesa kwa kufanya kazi ndogo ndogo mtandaoni. Ni app ya jamii huru. App hii inakuwezesha kutengeneza hadi laki 5 kwa mwezi kama wewe ni mbunifu.
jamii huru pesa

Siku hizi kuna mitandao mingi duniani kiasi kwamba wamiliki wa mitandao hiyo wanatakiwa kushindana kwa kutoa huduma bora kuliko wengine. Hivyo mtandao wa jamiihuru.com umekuja na huduma kabambe ambayo huwezi kuipata sehemu yoyote duniani hata ukiiipata basi tambua wameiga toka kwa kwa jamii huru  social media.

Jamiihuru.com ina huduma hizi zifuatazo


1. Unalipwa sh elfu moja kwa kila mtu unayemsajiri kwenye mtandao huo. Yaani hakuna kusubiri mpaka zifike sh elfu 50 ili utumie hapana ukimsajiri mtu mmoja sh elfu moja yako inakuwa kwenye simu au mkononi na kuweza kuanza kuitumia.

2. Unalipwa kwa idadi ya likes unazopata kwenye page unayoendesha ndani ya jamiihuru.com mfano page yako ikipata likes 10000 unalipwa laki moja bila kuchelewa.
3. Unalipwa kwa kuandika makala original sehemu ya blog ndani ya jamiihuru.com makala 100 sawa na sh elfu elfu mbili au dola moja.

Ijue App pekee inayo tengeneza ajira kwa vijana mtandaoni

Habari ndugu mtumiaji wa app hii, Leo nakutambusha app pekee ambayo ukiitumia utapata pesa kwa kufanya kazi ndogo ndogo mtandaoni. Ni app ya jamii huru. App hii inakuwezesha kutengeneza hadi laki 5 kwa mwezi kama wewe ni mbunifu.
jamii huru pesa

Siku hizi kuna mitandao mingi duniani kiasi kwamba wamiliki wa mitandao hiyo wanatakiwa kushindana kwa kutoa huduma bora kuliko wengine. Hivyo mtandao wa jamiihuru.com umekuja na huduma kabambe ambayo huwezi kuipata sehemu yoyote duniani hata ukiiipata basi tambua wameiga toka kwa kwa jamii huru  social media.

Jamiihuru.com ina huduma hizi zifuatazo


1. Unalipwa sh elfu moja kwa kila mtu unayemsajiri kwenye mtandao huo. Yaani hakuna kusubiri mpaka zifike sh elfu 50 ili utumie hapana ukimsajiri mtu mmoja sh elfu moja yako inakuwa kwenye simu au mkononi na kuweza kuanza kuitumia.

2. Unalipwa kwa idadi ya likes unazopata kwenye page unayoendesha ndani ya jamiihuru.com mfano page yako ikipata likes 10000 unalipwa laki moja bila kuchelewa.
3. Unalipwa kwa kuandika makala original sehemu ya blog ndani ya jamiihuru.com makala 100 sawa na sh elfu elfu mbili au dola moja.


JIUNGE KWENYE GROUP LA WHATSAPP UIFUNZE ZAIDI KUHUSIANA NA KAZI HII BONYEZA LINK HII https://chat.whatsapp.com/KzGJZtHlhI9BipqXWyK1ni

TAZAMA HAPA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2019  https://results.necta.go.tz/results/2019/psle/psle.htm

Maelekezo mengine utayapata kwenye App unapoifungua tu bada ya kuidownload karibu ulimwengu wa teknolojia utajirike online.

Nimeona niandike ushauri huu baada ya kuona unatafuta sana kuhusu 

matokeo darasa la saba 2019/2020

necta matokeo darasa la saba 2019

matokeo darasa la saba 2019/20

matokeo darasa la saba 2019 dar es salaam

matokeo ya darasa la saba 2019/20

matokeo ya darasa la saba 2019/2020

matokeo ya darasa la saba 2019 na shule walizopangiwa

matokeo ya mtihani darasa la saba 2019

Share makala hii na uwapendao bonyeza share button moja wapo hapa chini au kopi kisha paste popote online washirikishe nao wapate mawili matatu toka kwenye makala hii. asante kwa kushare na Mungu akubariki pamoja na watoto wako

Thursday, January 24, 2019

www.matokeo.necta.go.tz form four necta results 2018

www.matokeo.necta.go.tz form four necta results 2018 NEW UPDATES

www.matokeo.necta.go.tz form four necta results 2018,  New. Matokeo ya kidato cha nne 2018, New, www.matokeo.necta.go.tz  New, Necta results 2018/2019 New, Matokeo ya f.IV , Matokeo ya f. 4 2018, 


www.matokeo.necta.go.tz form four necta results 2018

New updates www.matokeo.necta.go.tz form four necta results 2018 haya hapa. congratulation for your success, Form four 2018 Your dreams may come true.

You are about to start form five 2019 you must study hard, Life without education is like having a car without being able to drive it. You need friends or relatives to drive it for you. Soma sana ujiunge na chuo kikuu miaka ijayo. chuo kikuu kutamu sana, I like university life. Study hard you will enjoy too.

You might like to make money online

You can make good money if unajiunga na mtandao wa www.jamiihuru.com Bonyeza hapa ujiunge dakika mbili tu halafu anza kufundisha chochote kwenye mtandao huo ulipwe, Mfano unaweza kufundisha watu jinsi ya kupika, jinsi ya kufaulu mitihani, jinsi ya kufuga kuku, jinsi ya kupamba au kitu chochote unachokijua. tengeneza pesa sasa join www.jamiihuru.com and make money online while you are celebrating for www.matokeo.necta.go.tz form four necta results 2018 Congratulation for your exam results